IQNA-Kiongozi wa harakati ya Muqawama (mapambano ya Kiislamu) ya Ansarullah nchini Yemen amesema kuwa Marekani na Utawala wa Israel zinakabiliana na Iran kwa sababu Jamhuri ya Kiislamu ya Iran inasimama kama kizuizi dhidi ya mradi wao mpana wa kutawala eneo la Asia Magharibi au Mashariki ya Kati.
Habari ID: 3481932 Tarehe ya kuchapishwa : 2026/02/14
IQNA – Mashirika na taasisi mbalimbali za Kiyemeni yamelaani kitendo cha hivi karibuni cha kudhalilisha Qur’an Tukufu nchini Marekani, na yameunga mkono mwito wa kiongozi wa Ansarullah (Houthi) wa kufanya maandamano ya kulaani kitendo hicho cha kufuru.
Habari ID: 3481683 Tarehe ya kuchapishwa : 2025/12/19
Vita vya Saudia dhidi ya Yemen
TEHRAN (IQNA) - Kiongozi wa harakati ya muqawama (mapambano) ya Ansarullah ya Yemen ameushauri muungano vamizi unaoongozwa na Saudi Arabia kuchukua fursa ya usitishaji vita ili kukomesha uvamizi wake dhidi ya Yemen sambamba na kusitisha mzingiro wake dhidi ya nchi hiyo.
Habari ID: 3475675 Tarehe ya kuchapishwa : 2022/08/24